Par Mwananchi
Wachimbaji wawili wa madini ya Ruby yanayochimbwa Wilayani Longido Mkoa wa Arusha wamefariki dunia baada ya kufunikwa na udongo wakati wakichimba.
Vus : 17. Votes : 0. Partages : 0.