Par Jiachie
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia), Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Martin Busungu, wakisaini Mkataba wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji, katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo. Ujenzi wa Jengo hilo ambalo litakua na ghorofa nane unatarajiwa kukamilika baada ya miezi 18. Katibu Mkuu ameitaka Suma JKT kumkabidhi jengo hilo kwa wakati. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali...
Vus : 220. Votes : 0. Partages : 1.