Par Mwananchi
Mwanamfalme wa Milki ya Kiarabu (UAE), Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, alitapeliwa Sh400 milioni na walaghai kutoka Kenya katika sakata ya dhahabu feki, ambapo Seneta Moses Wetangula wa Bungoma ametajwa.
Vus : 14. Votes : 0. Partages : 0.