Jiachie
BENKI YA NMB YAAHIDI KUENDELEA KUDHAMINI MASHINDANO YA GOFU
 Pichani wa pili kulia  ni  Ofisa Mkuu wa Wateja Wadogo na wa Kati wa Benki ya NMB Filbert Mponzi  akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani zaidi ya shilingi milioni 21 kwa Nahodha wa Gofu kutoka Lugalo Kapten Japhet Masai,leo jijini Dar kwa ajili ya Udhamini wa mashindano ya...
Vus : 3. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
Balozi wa Korea atembelea Hospitali ya Mloganzila
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Prof. Lawrence Museru (aliyevaa shati jeupe) akizungumza wakati wa kikao na Balozi wa Jamhuri ya Korea, Mh. Tae-ick-Cho ambaye leo ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila.
Balozi Tae-ick-Cho akizungumza jambo w...
Vus : 3. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
Vus : 10. Votes : 0. Partages : 0.
Vus : 6. Votes : 0. Partages : 0.
Vus : 9. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
TANZANIA KUNUFAIKA NA DOLA BILIONI 1.7 KUTOKA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akimkabidhi zawadi ya picha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Bi. Anne Kabagambe, baada ya mkutano kati yao uliofanyika Jijini Dar es Salaam ambapo Benki hiyo imeahidi kuendeleza ushirikiano na Serikal...
Vus : 6. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
Vus : 7. Votes : 0. Partages : 0.
Vus : 7. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
Vus : 5. Votes : 0. Partages : 0.
 
Jiachie
UINGEREZA YAFADHILI MASOMO YA WATUMISHI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kulia),akimkabidhi Cheti Mtumishi wa Wizara hiyo kutoka Tanzania Bara, Bi. Patricia Mlowe,wakati wa hafla ya kuagwa rasmi kwa ajili ya safari ya kwenda masomoni Uingerezakwa udhamini wa Shirika la Maendeleo la...
Vus : 5. Votes : 0. Partages : 0.
Vus : 3. Votes : 0. Partages : 0.