Wor'Out Media
MAMBO MATATU MUHIMU YATAJWA MIAKA MITANO YA M-PAWA
Benki ya CBA ikishirikiana na kampuni ya Vodacom imefanya droo yake ya 5 ya kuadhimisha miaka 5 ya huduma ya MPawa yenye lengo la kuongeza ushirikishwaji wa kifedha kwa wateja wake kwenye makao makuu ya benki hiyo Dar es salaam. 
Katika kusherehekea maadhimisho hayo, promosheni h...
Vus : 10. Votes : 0. Partages : 0.
 
Wor'Out Media
Vus : 6. Votes : 0. Partages : 0.
 
Wor'Out Media
LIGI YA PROPHET SUGUYE YAFIKIA HATUA YA ROBO FAINALI UKIPIGWA NJE
Beki wa machimbo FC Ekson Kavali, (katikati), akijaribu kumtoka Mshambuliaji wa Magereza FC, Frank William (kushoto), wakati wa mchezo wa ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika viwanja vya shule ya Msingi Misitu Kivule, ambapo katika mchezo huo Magereza iliibuka na ushind...
Vus : 1. Votes : 0. Partages : 0.
 
Wor'Out Media
Vus : 8. Votes : 0. Partages : 0.
 
Wor'Out Media
TANZANIA INA FURSA KUBWA YA KUVUNA UMEME WA NGUVU YA JUA
Waziri Mkuu Mtaafu Mh. Mizengo Peter Pinda na Mkurugenzi wa TANTRADE, Edwin Rutageruka (kushoto), wakimsikiliza  Afisa Masoko wa Mobisol Farid Abdallah, wakati walipotembelea banda  la kampuni hiyo katika maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam katika Viwanja vy...
Vus : 10. Votes : 0. Partages : 0.
 
Wor'Out Media
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASIFU MAONESHO YA 43 YA SABABSABA JIJINI DAR
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Maafisa wa Kampuni ya uzalishaji wa mbegu bora za mazao ya Kilimo ya Seed Co.wakati wa ziara yake aliyoifanya leo Jumamosi (Julai 6, 2019) kutembelea mabanda mbalimbali ya washiriki wa maonesho ya 43 ya Biashara...
Vus : 10. Votes : 0. Partages : 0.
 
Wor'Out Media
Vus : 6. Votes : 0. Partages : 0.