Mwananchi
Milango ya kanisa yavunjwa Kibiti
Baada ya kuwapo matukio ya mauaji walayani hapa, Kanisa Katoliki Kigango cha Jaribu/Mjawa  katika Parokia ya Kibiti Mkoa wa Pwani, limevunjwa mlango wake na watu wasiojulikana kisha kuchoma moto majoho manne ya viongozi wa kanisa hilo.
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPIL MJINI MOSHI
Rais Dkt John Pombe Magufuli amejiunga na waumini kwenye ibada ya Jumapili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Usharika wa Moshi Mjini asubuhi hii. Rais Magufuli yuko mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku tatuCopyright 2007 ©MICHUZI JR
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Mwananchi
Views : 1. Votes : 0. Shares : 0.
 
Habari Na Matukio
WANAFUNZI WA CHUO CHA VETA MOSHI WATEMBELEA BANDA LA MGODI WA BULYANHULU
Wanafunzi wanaosoma katika Chuo Cha Ufundi – VETA Moshi mkoani Kilimanjaro wanasomea kozi maalumu kuhusu ufundi wa mgodini na viwandani wametembelea banda la mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwenye maonesho ya wiki ya usalama na afya...
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Jiachie
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.
 
Father Kidevu
Views : 2. Votes : 0. Shares : 0.