By Mwananchi
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimetakiwa kuoanisha miongozo ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko pamoja na kuimarisha mawasiliano ili yanapotokea katika maeneo ya mipakani iwe rahisi wataalamu wa  pande mbili kushirikiana kuyazuia yasisambae zaidi.
Views : 23. Votes : 0. Shares : 0.