By Mwananchi
Barabara yenye urefu wa kilomita 32.2 iliyojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Sanya juu hadi Elerai wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro,  inatarajiwa kufunguliwa rasmi siku chache zijazo baada ya ujenzi wake kukamilika.
Views : 18. Votes : 0. Shares : 0.