By Jiachie
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza kwenye maadhimisho hayo.
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa benki ya Exim Tanzania Bw Stanley Kafu (Kulia) akipokea tuzo maalum kutoka kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ikiwa ni utambuzi wa mchango wa benki hiyo katika kufanikisha suala la uhamasishaji na uchangiaji wa damu salama hapa nchini katika Maadhimisho ya Siku ya Wachangiaji Damu Duniani yaliyofa...
Views : 25. Votes : 0. Shares : 0.