By Mwananchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola leo Jumapili Juni 16,2019, amepokea ripoti mbili za uchunguzi ikiwemo ya kifo chenye utata cha Isululu Kabote (85), mkazi wa Kijiji cha Buhungukila, Kata ya Bugarama, Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu.
Views : 15. Votes : 0. Shares : 0.