By Mwananchi
Mradi mkubwa wa maji Getanyamba uliowezeshwa na 4CCP, wenye thamani ya Sh61.9 milioni umezinduliwa  na Mwenge wa Uhuru katika Kijiji cha Getanyamba wilayani Mbulu mkoani Manyara na kuondoa changamoto ya huduma hiyo kwa wakazi wa eneo hilo.
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.