By Bongo 5
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nahreel amefunguka kwa mara ya kwanza taarifa za Meneja wake Sallam kumpendelea zaidi Diamond Platnumz kikazi kuliko kundi lake la Navykenzo ambalo nalo linasimamiwa na Meneja huyo.
Kwa upande mwingine, Nahreel amefunguka jina la mtoto wake wa kiume ajaye ambaye amembatiza jina la Jamaica, Kaeleza pia kuhusu timu yake mpya ya Navykenzo FC.
The post Nahreel afunguka meneja wake Sallam kumpendelea Diamond dhidi ya Navykenzo, Aeleza pia sababu za kumbatiza mtoto wak...
Views : 19. Votes : 0. Shares : 0.