By Bongo 5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. John Pombe Magufuli amekubali ombi la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Paul Makonda la kutaka kwenda nchini Misri kuihamasisha timu ya Taifa Stars kwenye michuano ya AFCON 2019 inayoendelea nchini humo.
Rais Magufuli akihutubia Taifa mapema leo asubuhi wakati wa uzinduzi wa ghala la gesi la Kmapuni ya Taifa Gas Ltd. Amesema kuwa lengo la Watanzania kwenye michuano hiyo ni ushindi hivyo kama RC Makonda atakwenda kuongeza hamasa, haina haja ya k...
Views : 23. Votes : 0. Shares : 0.