By Mwananchi
Baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa waziri ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba na nafasi yake kumteua mwingine, Makamba ametoa kauli yake ya kwanza baada ya uamuzi huo.
Views : 29. Votes : 0. Shares : 0.