By Mwananchi
Wakati baadhi wakibashiri kuwa malalamiko ya makatibu wakuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana yanakigawanya chama na kukidhoofisha, wapo wanaoona kuwa huo ni upepo unaovuma na hupita na kukiacha chama salama.
Views : 18. Votes : 0. Shares : 0.