By Mwananchi
Hussein Bashe  amemshukuru Rais wa Tanzania, John Magufuli kwa kumteua kuwa naibu waziri wa kilimo huku akiahidi kwenda kutoa mawazo mapya ndani ya wizara hiyo inayochangia asilimia 28 ya pato la taifa (GDP).
Views : 21. Votes : 0. Shares : 0.