By Bongo 5
Chama cha Hakimiliki nchini Kenya (MCSK) kimewalipa mirabaha ya miezi sita kwa wasanii wa muziki nchini humo na wale wa nje ambao ni wanachama cha chama hicho.
Special Announcement! A message has been sent to all our members via sms in regards to the distribution of royalties. #mcsk #mcskroyalties #mcskpays #mcskpaysmembers pic.twitter.com/y1k50O0iXH
— MCSK (@TheMCSK) August 9, 2019
Miamala hiyo ambayo wamerushiwa kwa njia ya huduma ya pesa za mtandaoni (M-Pesa) imewaudhi baadhi ya wasanii wa m...
Views : 20. Votes : 0. Shares : 0.