By Mwananchi
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumamosi Agosti 17, 2019 amekabidhiwa uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika na kuitaka sekretarieti ya jumuiya hiyo kujitathmini kuhusu ukuaji duni wa uchumi kwa nchi wanachama.
Views : 13. Votes : 0. Shares : 0.