By Mwananchi
Karibu kila bendi kubwa siku hizi huwa inakuwa na kundi la wasanii ambao kazi yao ni kucheza dansi. Jina maarufu la wasanii hawa lilikuwa ni ‘Stage Show’. Siku hizi huitwa Wacheza Show au Madansa. Mara ya kwanza mimi kuwaona wacheza shoo jukwaani ilikuwa mwaka 1962 wakati Dorothy Masuka na kundi lake lilipopita Iringa na kufanya onyesho katika ukumbi wa Highland Cinema, nilikuwa mdogo sana lakini kilichobakia kichwani ni kumbukumbu ya wachezaji wake waliovaa vibwaya na Dorothy Masuka akiimba wim...
Views : 22. Votes : 0. Shares : 0.