By Mwananchi
Wakati ubaguzi na ukatili vikionekana kuwa changamoto kwa wanaoishi na ulemavu, ripoti ya haki za binadamu inaonyesha watu wenye ualbino  wanaishi kwa wasiwasi hasa wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Oktoba, 2019 na uchaguzi mkuu mwaka 2020
Views : 20. Votes : 0. Shares : 0.