By Mwananchi
Uongozi wa Benki ya Exim Tanzania umezindua kampeni  inayolenga kuhamasisha wateja kuhusu matumizi ya mtiririko wa huduma  maalumu za kiusalama katika masuala ya fedha zinazotolewa na benki hiyo. 
Views : 16. Votes : 0. Shares : 0.