By Jiachie
Wakati wa uzinduzi wa wiki ya usikilizwaji,utoaji huduma na utatuzi wa kero za wananchi wilayani Korogwe, Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Kissa G. Kasongwa amekemea watumishi wote wa Serikali ambao wanatabia ya kutowasikiliza na kuwahudumia wananchi vizuri pale wanapokwenda katiaka ofisi zao na kuongeza kuwa wananchi ndio mabosi wa wahusika wote serikalini. 
Alisema kama yeye Mkuu wa Wilaya wa Korogwe anatoa kiti chake ofisini na kukaa nje katika eneo la kuegeshea magari ili kuwasikiliza wananchi...
Views : 30. Votes : 0. Shares : 0.