By Mwananchi
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Baraza la Vijana la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema (Bavicha), wameanza kuingia ukumbini wakisubiri kuanza kwa mkutano huo utakaokuwa na ajenda ya kuwachagua viongozi ngazi ya uenyekiti na makamu wake.
Views : 11. Votes : 0. Shares : 0.