By Mwananchi
Mkurugenzi wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema anasikitishwa kutofikia mwisho kwa mchakato wa Katiba Mpya akibainisha kuwa kumewaweka wasomi katika hali ya kutoaminika katika jamii.
Views : 16. Votes : 0. Shares : 0.