By Mwananchi
 Isamil Mufuruki, baba mdogo wa bilionea maarufu nchini Tanzania, Ali Mufuruki aliyefariki dunia jana alfajiri Jumapili Desemba 8, 2019 amesema mwili wa mfanyabiashara huyo utawasili nchini kati ya saa 9:30 alasiri hadi saa 10 jioni ukitokea Afrika Kusini.
Views : 16. Votes : 0. Shares : 0.