By Mwananchi
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Fatma Makongoro maarufu Bibi Mwenda amezua kizaazaa baada ya kung’ang’ania katika siti ya mbele ya gari la kubeba maiti lililokuwa na mwili wa Seth Bosco, mdogo wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba,  mpaka apewe fedha.
Views : 9. Votes : 0. Shares : 0.