By Mwananchi
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na mwenzake wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba wametumia fursa ya kutoa salamu katika maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika kumwomba Rais John Magufuli kutumia nafasi yake kulea,  kulinda na kukuza demokrasia.
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.