By Mwananchi
Dar es Salaam. Msanii wa filamu nchini Tanzania, Vicent Kigosi maarufu Ray amesema kusogezwa mbele kwa ratiba ya mazishi ya Seth Bosco ambaye ni mdogo wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba ndio sababu ya kushindwa kushiriki mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kinondoni.
Views : 19. Votes : 0. Shares : 0.