By Jiachie
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlakahiyo wakati alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka hiyo wakati alipotembelea...
Views : 81. Votes : 0. Shares : 0.