By Jiachie
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewatakia Watanzania wote heri ya Mwaka mpya wa 2020 na kuwaomba waendelee kudumisha amani na upendo ili uwe mwaka wa maendeleo na ustawi kwa Taifa.
Mhe. Rais Magufuli ametoa salamu hizo leo tarehe 31 Desemba, 2019 wakati akiagana na Maafisa na Askari Wanyamapori na Hifadhi ya Misitu wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ambako ametembelea na kujionea vivutio vya utalii pamoja na wananchi wa Nyabugera na Muganza aliowasa...
Views : 82. Votes : 0. Shares : 0.