By Jiachie
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dkt. Edwin Mhede akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati akitangaza makusanyo ya kodi ya kipindi cha Robo ya Pili ya mwaka 2019/20 ambapo amesema kwa mara nyingine, TRA imevunja rekodi kwa kukusanya jumla ya kiasi cha sh. trilioni 1.987 kwa mwezi Desemba 2019 sawa na ufanisi wa asilimia 100.20 kutoka katika lengo la kukusanya kiasi cha sh. trilioni 1.983 kwa mwezi huo. Kulia kwake ni Naibu Kamishna M...
Views : 80. Votes : 0. Shares : 0.