By Bongo 5
Joe S Habachy ambaye ni mwanasheria wa Gordon aliyekuwa mtoto wa kuasili wa marehemu Whitney Houston, hajaweka wazi sababu za kifo za kijana huyo.
Ameiambia Sky News, “kutokana na changamoto nyingi alizokutana nazo miaka ya hivi karibuni, alilazimika kutumia nguvu nyingi kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa, jambo ambalo lilishindikana.”
Gordon alikuwa yatima, marehemu  Whitney Houston alimchukua na kumlea kama mwanaye wa kuasili, baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe Bobby Brown mwaka 2007.
Alik...
Views : 61. Votes : 0. Shares : 0.