By Jiachie
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha akizungumza na waandishi wa habari . katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa promosheni ya Kishindo cha Funga Mwaka na Tigo.“Tunapenda kuwashukuru sana wateja wetu wote ambao walishiriki kwenye promosheni hii lakini kwa leo tumeweza kuwapata washindi watatu ambao wanahitimisha promosheni hii ambayo ilifanyika nchi nzima na tulikuwa na washidi zaidi ya 331 ambao wameshinda milioni 500,” Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha...
Views : 73. Votes : 0. Shares : 0.