By Jiachie
Na Avila Kakingo, Michuzi Globu.
SERIKALI ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt.John Pombe Magufuli imesema dhamira yake kubwa ni kuboresha mifumo  Bora ya Kielektroniki  ya ukusanyaji mapato na kuongeza uchumi kupitia mifumo ya Kielektroniki inayokidhi viwango vya kimataifa.Hayo yamebainishwa na Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mipango wakati akifungua Kikao kazi Cha wahasibu wa Serikali Cha siku tatu pamoja na kuzindua mfumo mpya wa Uandaaji wa taarifa za fedha za majumuisho,Kikao hicho k...
Views : 77. Votes : 0. Shares : 0.