By Jiachie
  Balozi wa akaunti maalumu ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Hadija Kimaro (kushoto), akizungumza na wanafunzi waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam hivi karibuni uhusu faida ya akaunti hiyo inayompa mteja uhakika wa elimu ya mtoto wake hadi chuo kikuu hata atakapopata majanga yatakayosababisha ulemavu wa kudumu ama kifo.  
Balozi wa akaunti maalumu ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Neema Mziray (kulia), akizungumza na baadhi ya watu...
Views : 95. Votes : 0. Shares : 0.