By Jiachie
 Meneja wa Kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo, Mtenya Cheya  ( kushoto), akizungumza na mmoja washindi aliyeshinda zawadi ya bodaboda katika droo ya tatu ya kampeni hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza wa NBC,  Dorothea Mabonye, Meneja Chapa na Mawasiliano wa benki hiyo, David Raymond na Wakaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Elibariki Sengasenga na Abdallah Hemedi.
 Meneja Chapa na Mawasiliano wa Benki ya NBC, David Raymond (wa...
Views : 84. Votes : 0. Shares : 0.