By Mwananchi
Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameshauri wajumbe wa kamati ya Ujenzi ya Shule ya Sekondari ya Kibaigwa iliyopo Kongwa kuchukuliwa hatua  baada ya kugundua madudu kwenye ujenzi huo.
Views : 35. Votes : 0. Shares : 0.