By Mwananchi
Wakiwa wamepunguzwa kazi kwa muda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, wafanyakazi wa mashirika ya ndege na hoteli nchini Sweden wanapata mafunzo mapya ya kuwawezesha kufanya kazi kama wasaidizi wa hospitali na wauguzi wakati idadi ya vifo ikikaribia watu 900 katika nchi hiyo ya Scandinavia.
Views : 43. Votes : 0. Shares : 0.