By Mwananchi
SIMBA na Yanga ndio kama mlivyosikia. Ile siku ndio inakaribia kwa wababe hawa wa soka la Tanzania kuvaana Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa jijini, Dar es Salaam. Ni mechi ya kwanza ya watani wa jadi kwa msimu huu, baada ya kuahirishwa kutoka mwezi uliopita kutokana na kuingiliana na matukio mengine muhimu kwa Taifa.
Views : 88. Votes : 0. Shares : 0.