By Bongo 5
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba, Mcroatia, Zdravko Logarusic, ametagazwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Asante Kotoko ya Ghana amesaini mkataba wa miaka miwili kuinoa timu hiyo baada ya kuachana na klabu ya Interclube ya Angola.
Logarusic ambaye aliifundisha Simba kuanzia Desemba, 2013 mpaka Julai, 2014, Novemba mwaka jana alimaliza mkataba wa kuifundisha kalabu ya Interclube huku akifanikiwa kuipa kombe la chama cha soka la nchi hiyo, APFL.
Mtandao wa habari za michezo wa nchi ya Ghana wa Soccer...
Views : 3. Votes : 0. Shares : 0.