By Jiachie
Benki ya KCB Tanzania yatoa mafunzo kwa ajili ya wanawake wajasiriamali inayoitwa 2JIAJIRI. Programu hii inalenga kumkomboa mwanamke mjasiriamali kutoka katika matatizo yanayosababisha biashara yake ishindwe kuendelea. Programu hii itaongeza ajira nchini kwa wanawake na hivyo biashara zao zitapanuka na kuwa na uwezo wa kuajiri wengine. Mafunzo haya yataendeshwa na wataalamu kutoka Tanzania Entrepreneurship and Competitiveness Center -TECC waliobobea katika masuala ya kijasiriamali, kifedha na us...
Views : 6. Votes : 0. Shares : 0.