By Bongo 5 On Jan 11, 2017

Wasanii hawa wa UK wajitoa kutumbuiza katika sherehe za kuapishwa Donald Trump

Waimbaji wa Uingereza, Rebecca Ferguson na Charlotte Church waliotarajiwa kuwa miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza katika sherehe za kuapishwa Rais mteule wa Marekani, Donald Trump wamejitoa.
Imedaiwa kuwa sababu ya Rebecca kujitoa kutumbuiza ni baada ya kubainika kutaka kuimba wimbo wa ‘Strange Fruit’ ulioimbwa na Billie Holiday katika sherehe hizo ambao umeandikwa katika miaka ya 1930 kuhusiana na ubaguzi wa rangi nchini Marekani.
Baada ya kusambaa taarifa za kujitoa kutumbuiza katika sherehe...