By Jiachie On Jan 11, 2017

TEA Yatoa Milioni 496 Kujenga Uzio wa Hosteli Mpya za UDSM.

Makamu Mkuu wa Chuo cha UDSM Prof. Rwekaza Mukandala na Kaimu Mkurugenzi Mkuu TEA Graceana Shirima wakisaini mkataba huo.Makamu Mkuu wa Chuo cha UDSM Prof. Rwekaza Mukandala na Kaimu Mkurugenzi Mkuu TEA Graceana Shirima wakibadilishana mkataba huo mara baada ya kuusaini. Kulia ni Kaimu Meneja Miradi ya Elimu TEA, Anne Mlimuka.Meneja Habari, Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Sylivia Lupembe akitoa utambulisho wa viongozi kutoka TEA na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM...