By Jiachie
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti w Baraza la Mapinduzi Issa Haji Gavu akiwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Waziri Waziri Kindamba wakinyanyua mabango ya matangazo kuashiria kuzinduliwa kwa  huduma ya 4G  ya Kmpuni hiyo  Zanzibar (kushoto)  Mkuu wa Kanda ya Zanzibar Franscis Mabula. Afisa wa kutengeneza bidhaa wa TTCL Rashid Maggid  akimueleza Waziri Gavu namna ya huduma ya 4G inavyofanyakazi kwa urahisi na kwa haraka wakati wa sherehe za uzinduzi wa huduma hiyo iliyofanyika mak...
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.