By Bongo 5
Hakuna ubishi kuwa unapomuona mtu akiwa katika muonekano tofauti na uliouzoea au uliowahi kumuona nao lazima utabaki kumuangalia mara mbili mbili mpaka pale atakapotokomea.
Mrembo wa Kenya Vera Sidika amekuwa akifahamika kama kinara wa kuvaa vivazi vya ajabu huku akiachia sehemu kubwa ya maumbile yake yakiwa wazi huku vidume wakimmezea mate kwa kumtamani kwa vile alivyoumbika.
Lakini hali imekuwa tofauti kwa mrembo huyo baada ya Jumanne hii kupost picha katika mtandao wa Instagram akiwa akikatiz...
Views : 10. Votes : 0. Shares : 0.