By Bongo 5
Msanii mkongwe wa muziki nchini, Prince Dully Sykes anajipanga kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Yono’ baada ya kufanya vizuri na wimbo Inde ambao alimshirikisha Harmonize wa WCB.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa kwenye wimbo huo ametumia chorus ya wimbo wa zamani wa Jose Chameleone ambao ulikuwa kwenye albamu ya muimbaji huyo iliyotoka mwaka 2003.
“Mungu akipenda kesho naachia mkwaju wangu mpya wimbo unaitwa Yono, chorus ya wimbo nilipewa na Jose Chameleone toka mwaka 2003 baada ya kuipenda ni...
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.