By Mwananchi
Mahakama ya Wilaya ya Mbeya inatarajia kutoa hukumu Februari 6 ya kesi inayomkabili mwanamuziki wa nyimbo za injili mkoani Mbeya, Aman Mwasote (39) ya kumwita mchawi mtoto wa kike wa miaka tisa.
Views : 5. Votes : 0. Shares : 0.