By Bongo 5
Msanii aliye fahamika kama Kadjanito lakini sasahivi anajiita Natasha Lisimo, ambaye alishawahi kufanya vizuri na wimbo wa “Maumivu”, ameachia video mpya wimbo unaitwa “Nifanye Nini”, Video imeongozwa na Costantino Solo.
Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp
Views : 7. Votes : 0. Shares : 0.