By Habari Na Matukio
Mkuu wa wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe akiwa na baadhi ya viongozi wa vijiji na wafanyakazi wa kampuni ya Wingert Windrose Safaris baada ya kukabidhiwa hundi.
Mwandishi wetu, Arusha.
Kampuni ya uwindaji wa kitalii ya Wengert Windrose Safaris imetoa kiasi cha sh 36 milioni kwa Vijiji 12 vinavyozunguka kitalu cha uwindaji cha Lake Natron North wilayani Longido ili kuchangia huduma na miradi ya maendeleo.
Meneja mahusiano ya kampuni hiyo, Clarence Msafiri alimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Longido,Fr...
Views : 138. Votes : 0. Shares : 0.