By Habari Na Matukio
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Wakurugenzi saba wa Tume ya Umwagiliaji akiwemo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa tume hiyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazowakabili.
“CAG afanye haraka uchunguzi wa kina, tunataka kujua ni nani alikuwa mlango wa ubadhirifu huu. Hatutamuonea mtu, wote watakaothibitika kuhusika na matumizi mabaya ya fedha watachukuliwa hatua.”
Waziri Mkuu amechukua hatua hiyo leo (Jumanne, Mei 14, 2019) wakati wa kikao na viongozi wa tume hiyo kilichofan...
Views : 35. Votes : 0. Shares : 0.